價格:免費
更新日期:2017-03-13
檔案大小:3.5M
目前版本:1.0.2
版本需求:Android 2.3 以上版本
官方網站:http://www.bibleleague.org/
Email:SwahiliBible@bibleleague.org
聯絡地址:隱私權政策
Tafsiri hii ya Kiswahili ya Kusoma kwa Urahisi imetayarishwa kumpa msomaji njia rahisi na yenye kupendeza ya kusoma Biblia. Familia na makanisa yanafurahia kusoma Neno la Mungu kwa njia ambayo itamwezesha mtu yeyote kuelewa mpango wa Mungu kwa maisha yake. Njia iliyo wazi na ya wakati wa sasa itafungua. Zaidi maana ya Biblia, hata kwa wale ambao hawajawa na mazoea nayo.